TASKRABBIT YAKIRI KUDUKULIWA
KWA UFUPI: TaskRabbit imekua muhanga wa uhalifu mtandao – IKEA, Imethibitisha.
Hii ni katika muendelezo wa Programu tumishi
(Applications) na huduma zingine za kimtandao kuingiliwa na wahalifu mtandao
ambapo taarifa za watu zimejikuta katika miko…