UKUAJI WA MATUMIZI YA TEHAMA WAONGEZA UHALIFU MTANDAO
Mataifa
mengi yameendelea kuwekeza katika sekta ya TEHAMA ili kurahisisha huduma mbali
mbali kwa jamii za mataifa husika – Ikiwa ni pamoja na mawasiliano, huduma za
Afya, kifedha na hata usafirishaji ambapo TEHAMA imekua ikitumika kwa kiwango
cha j…