APPLE YAKIRI KUATHIRIWA NA “MELTDOWN” PAMOJA NA “SPECTRE”
Ugunduzi
wa mapungufu makubwa mawili yaliyopewa jina la “Meltdown na Spectre” yaliyoathiri
Kifaa cha Kopyuta kinachojulikana kwa jina la“Chip” ambapo athari zake ni kupelekea wizi wa
taarifa kwa watumiaji mtandao umeendelea kuchukua sura mpya…